http://www.bongoclantz.com/2015/01/iamond-amwaga-pesa-kwa-mashabiki-wake.html
Je wajua kua aliyekua mfalme wa Saudi Arabia mfalme Abdullah bin Abdulaziz alikua na wake 30?? Basi jibu ni ndio na hawa ni baadhi ya wake zake aliopiga nao picha ya pamoja. Mfalme Abdullah bin Abdulaziz alifariki tarehe 22 mwezi huu na nafasi yake imerithiwa na aliyekua mdogo wake.

Unaweza Soma : Hizi hapa picha za show aliyo ifanya Diamond Platnumz natimu nzima ya Wasafi kwenye tiGo Kiboko yao Concert
 
Top