Home
»
MATUKIO
» SBL YAKABIDHI LIMO BAJAJ KWA WASHINDI WAKE KATIKA SHINDANO LA TUTOKE NA SERENGETI
.JPG) |
Afisa mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti, Aman
Kimaro( Kulia) akimkabidhi funguo ya Limo Bajaji Mshindi wa shindano
la ‘Tutoke na Serengeti’ Godfrey Longino Mpiruka ( kushoto) na katikati
ni mwakilishi toka kampuni ya BPESA, Balbo Kayombo. Katika hafla iliyofanyika
Tabata Garden jijini Dar es Salaam. Kwa upande mwingine Bw. Mfaume Hassan
Mbwile mkazi wa Mbagala nae pia alikabidhiwa zawadi yake ya Limo Bajaj
katika bar ya Rich Hill Kongowe. |
 |
Meneja mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Kanda
ya Mbagala na Kigamboni Saidi Masalu (kushoto) akikabidhi funguo ya
Limo Bajaji yenye thamani ya Tsh. Milioni 9 kwa Bw. Mfaume Hassan Mbwile
mkazi wa Mbagala ambaye nae pia aliibuka mshindi katika kampeni ya Tutoke
na Serengeti.Hafla hiyo ilifanyika katika baa ya Rich Hill Kongowe.
Kwa upande mwingine mshindi wa nne wa shindano la ‘Tutoke na Serengeti’
Bw.Godfrey Longino Mpiruka nae alikabidhiwa zawadi ya Limo Bajaj katika
hafla iliyofanyika Tabata Garden jijini Dar es Salaam. |
 |
Mshindi wa shindano la ‘Tutoke na Serengeti’
Godfrey Longino Mpiruka ( kushoto) akionesha funguo ya Limo bajaji yenye
thamani ya tsh milioni tisa mara tu baada ya kukabidhiwa, kulia ni Afisa
mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti, Aman Kimaro na katikati ni mwakilishi
toka kampuni ya BPESA, Balbo Kayombo, hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika
Tabata Garden jijini Dar es Salaam. . Kwa upande mwingine Bw. Mfaume
Hassan Mbwile mkazi wa Mbagala nae pia alikabidhiwa zawadi yake ya Limo
Bajaj katika halfa iliyofanyika katika Bar ya Rich Hill Kongowe |
 |
Mshindi wa shindano la Tutoke na Serengeti Mfaume
Hassan Mbwile akiwa mwenye furaha mara baada ya kukabidhiwa Limo Bajaji
yenye thamani ya Sh. Milioni 9. Hafla hiyo ilifanyika jana katika baa
ya Rich Hill Kongowe jana. Huku nae Bw. Godfrey Longino Mpiruka akikabidhiwa
zawadi yake ya Limo Bajaj katika hafla iliyofanyika Tabata Garden jijini
Dar es Salaam. Kwa upande mwingine mshindi wa nne wa shindano la ‘Tutoke
na Serengeti’ Bw.Godfrey Longino Mpiruka nae alikabidhiwa zawadi ya
Limo Bajaj katika hafla iliyofanyika Tabata Garden jijini Dar es Salaam. |
 |
Meneja Vipoozeo na mwonekano wa kampuni ya bia ya
Serengeti, Baraka Mandara (kushoto) akimkabidhi funguo ya Limo Bajaji
mpya yenye thamani ya tsh milioni tisa , mshindi wa shindano la “Tutoke
na Serengeti “ linaloendeshwa na kampuni hiyo, Godfrey Longino Mpiruka
(kulia) katikati ni Afisa mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti, Aman
Kimaro na mwakilishi toka kampuni ya BPESA, Balbo Kayombo, hafla ya
makabidhiano hayo ilifanyika Tabata Garden jijini Dar es Salaam. Kwa
upande mwingine Bw. Mfaume Hassan Mbwile mkazi wa Mbagala nae pia alikabidhiwa
zawadi yake ya Limo Bajaj katika halfa iliyofanyika katika Bar ya Rich
Hill Kongowe |