BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Habari ya kusikitisha kwa muimbaji wa kwaya hapa nchini Tanzania Rose Muhando,amepata tuhuma nzito za kutoa mimba ya miezi saba,habari ambazo zina sikitisha ulimwengu wa gospel nchini.

wakati akiwa nchini Kenya wadau waq mziki huo walidai kwamba yeye alipaswa kuwa mfano wa kuacha yale yaliyo katazwa ikiwemo tunda la mti wa katikati lakini yeye hatimae ndio amekua akifanya yaliyo katazwa,walisema wakenya hao.

kwa sasa kesi imefika kwa mapolisi kwa upelelezi zaidi na inasemekana kwamba kama atakutwa na hatia basi atafungwa miaka 7 jela kwa kosa hilo la kutoa mimba.