Mara nyingi kwa ma-super star huwa wanapenda kuonyesha sura zao kwenye mitandao ya kijamii kwa njia ya picha wakiwa wamependeza au wakiwa wanakula bata kuzidi kuonekana kuwa wao ni warembo au watanashati.
Lakini kwa picha hii hapo juu ndiyo sura halisi ya Diana Elizabeth Michael 'Lulu' aliyo share kuonyesha uhalisia wake bila vipodozi wala mafuta ya mgando. Na kupitia account yake ya instagram haya ndiyo maneno aliyo yaandika akiambatanisha na picha hiyo:
''Ofa Kabambe...
Kitu hakijapitishwa hata kwenye filter,uso hauna hata mafuta Ya mgando mara Moja moja sana haya mambo Ya Live...!Sema pic Ya mwisho nilianza kusinzia #okayGudnyt''
Mpe comment yako hapo chini
 
Top