Story Kubwa Leo Mitandaoni ni hii ya Jamaa Anajulikana kama Tevez Ambae
alikuwa mume wa Isha Mashauzi , Kuna tetesi kuwa Amekatwa nyeti zake na
washiriki wenzake wa madawa ya kulevya baada ya kuwadanganya wenzake
kuwa Madawa yamepotea huko South Afrika..
Kuna picha zinasambaa akiwa amekatwa ili tumeshindwa kuziweka hapa
live...Habari Hii Bado haijazibitishwa kama ni kweli ama laa..lakini ndo
stori iliyosambaa leo
Ingia Hapa Ukitaka kuona.....<<PICHA>>