Hii ndo video ya Kipigo kizito Alichopewa Lipumba pamoja na Wanachama wengine wa CUF, icheki hapa
Hii ni Video ya kichapo kizito toka kwa polisi walichopewa wanachama wa CUF wakati wa maandamano yalioyoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.