CHEKI HII VIDEO: WANAFUNZI WA KIMAREKANI WAKICHEZA WIMBO WA 'MY NUMBER ONE' WA DIAMOND PLATNUMZ NI SHEEDAH
Muziki wa bongoflava unaendelea kuvuka mipaka na kuendelea kupendwa mataifa mbalimbali. Wimbo wa Diamond Platnumz umetumiwa na wanafunzi wa Kiswahili chuo cha Florida nchini Marekani kama sehemu ya masomo yao ambao waliucheza.