Young Killer azungumzia sababu iliomfanya afanye ngoma na Banana na faida aliopata katika ngoma iyo. 12:35 PM A+ A- Print Email Umebadilika ni ngoma ya Young Killer aliomshirikisha Banana, Ikiwa ni miezi miwili tangu iyo ngoma itoke msanii Young Killer azungumzia ngoma iyo na sababu iliomfanya afanye ngoma iyo.