Young D azungumzia track yake mpya aioingiza hewani leo.
Msanii wa music wa kizazi kipya kutoka pande za jijini Dar unaweza kumuita Young D leo ameachia ngoma yake mpya aliomshirikisha Jux inayokwenda kwa jina la Siyo Mchoyo,
Akizungumza kwenye kipindi cha Bongo Brain cha Zenj Fm radio Young D aielezea nini kakiimba katika ngoma iyo mpya.