
Manager
wa Tiptop Bab Tale amesema msanii Tunda Man hajasimamishwa kazi Tiptop
na sio kawaida kwa Tiptop kusimamisha wasanii wake ila kila msanii ana
mfumo wake wa kurekodi na kutoa kazi mpya. Tetesi za Tunda Man
kusimamishwa kazi zilisambaa hivi karibuni zikichangiwa na ukimya wa
Tunda Man baada ya kutoa video ya Msambinungwa February mwaka 2014.
credit : sammisago