Kipaji ni Kipaji Tu , Uwezi Amini ila
ndo Hivyo Mzee Mzima Diamond Platnumz Kumbe na Upande wa Kurap Ama
Kuchana yupo Vizuri Sana , Kina Nay Wasipoangalia Wataondolewa Kwenye
Game.....Sikiliza Wimbo Ambao Diamond Amechana/Rap Verse ya Kwanza na ya
Pili Kamalizia Mzee Mzima Godzilla, Wimbo Umefanywa na Producer Zachaa
wa Mj Records.
Wimbo Huu Hapa:
Wimbo Huu Hapa: