Mwimbaji Justin Bieber amejitoa ufahamu wakati akiwa katika show ya mitindo iliyokuwa ikirushwa Live kwenye TV, Jumanne, September 9 na kuchojoa nguo mbele ya kadamnasi.

Bieber alifika jukwaani ambapo watu wengi walihudhuria, na alipofika alimwambia Lara Stone kuwa hajisikii huru hadi avue nguo zote.

Sekunde chache baadae alianza kuvua nguo moja moja hadi alipobaki na nguo ya ndani pekee aka boxer.

Show iliendelea na Bieber alionesha mwili wake akiwa ndani ya vazi hilo la ndani tofauti na matarajio ya wengi na Lara Stone aliendelea naratiba kwa kumpandisha jukwaani Rita Ora
 
Top