Mkali wa bongo fleva Shetta toka alipo achiwa wimbo wake wa Kelewa akiwa amemshirikisha Diamond platinum ambao umekuwa ukifanya vizuri amesema kwa sasa yeye ni up coming artist kwenye soko la music wa Africa na kusema kuwa hana management yoyote na hata hapo alipofika ni juhudi zake mwenyewe.
Akizungumza na kipindi cha Ze Crush cha Zenj Fm Radio Shetta alisema kuwa mshauri wake mkubwa kwa sasa ni Platnum na ndo mtu wake wa karibu sana kwenye masuala ya music.

 
Top