Wiki
moja iliyopita mke wa rapper Kanye West ‘Kim Kardashian’ alitajwa kuwa
mwanamke wa mwaka na jarida la GQ Na alipidi apige picha za utupa kwa
ajili ya jarida hilo.
Jipya ni kwamba mdogo wake Kim, Kendall Jenner naye amepiga picha kama hizo za utupu chini ya mpiga picha maarufu Russell James zitakazo kuwa kwenye kwenye kitabu cha mpiga picha huyo kiitwacho ‘Angels’. Fahamu kuwa Kendall anamiaka 18 tu.