Neyo afunguka kuhusu rumous ya Jay Z na Beyonce kuhusu mtoto ajae.
Mara baada ya Jay-z kubadili mistari ya nyimbo yake na kuwafanya mashabiki kuhisi labda Beyonce ni mjamzito huko ufaransa kwenye Tour yoa msanii mkali wa R n B kutoka USA Neyo amefunguka kusiana na hilo na kusema ikiwa kweli basi ni kitu kizuri kwa wao wawili kupata mtoto wa pili na amewapongeza sanaaaaa.