Mzee Magali wa Bongo Movie kukimbilia kwenye Music
Msanii mkongwe kwenye tasnia ya movie hapa nyumba Mzee Magali ambaye anafanya vizuri kwenye game ya Bongo ya Movie amesema anahamishia nguvu zake kwenye kwenye music,
Mzee Magali amesema yeye nini msanii wa music tangu zamani ingawa amejipatia umaarufu kupitia Bongo Movie.