Diamond Platinumz asema haya kuhusu music na maisha yake
Mkali wa Music wa kizazi kipya alimaarufu kama Bongo Fleva kutoka Wasafi Classic Diamond Platinum amezungumzia utofauti wa maisha yake ya sasa na ya zamani wakati kabl ahajatusua katika anga ya music wa Bongo Fleva.