Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka
South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya
baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya
Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa
kwa kuwakanyaga migongoni...Angali Picha Hapo Juu