Kumezuka katabia Kwa Wasanii Mastaa
Kuonesha Pesa zao Kwenye Mitandao ya Kijamii Kama Facebook na Instagram
wanapozipata kwa Mkupuo , Lulu Michael nae ameingia katika list ya
wasanii hao, Juzi Kapost picha hiyo Hapo Juu akionesha zigo la Pesa...Je ni Sawa kwa staa kama Lulu Kufanya Hivyo au ni Ulimbukeni wa Pesa?