Ule uvumi wa kuwepo na uwezekana wa kuvunjika kwa ndoa ya Jay Z na Beyonce umeanza kupoteza umaarufu kabisa hii ni kutokana na maneno ya Jay Z juzi alipokuwa stajini na Beyonce.
Katika the Run tour stop in Paris wakati wakiperform stejini Jay Z alibadilisha mistari ya nyimbo yao kutoka kwenye "Beach is Better" na kutamka "Cause she's pregnant with another one." kwa maneno haya wadau wamekuja na swala kuwa yawezekana Beyonce ni mjamzito kwani hata ujauzito wa Beyonce wa kwanza Beyonce mwenyewe aliutangaza kwenye stage tena katikati ya performance.

 
Top