Wema sepetu ndio anaongoza kwa hili swala la kujisahau stejini na
kuacha “maliasili” zake zikiwa wazi. Hii imemtokea miaka miwili
mfululizo. kwanza mwaka 2011 mjini Morogoro baada ya kupanda stejini na
kuanza kuimba pamoja na boyfriend wake Diamond,lakini hiyo isingetosha
kama angeondoka jukwaani bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki
waliofurika uwanja wa Jahmhuri kushuhudia burudani za Fiesta 2011!!!.

Kama hiyo haitoshi mwaka 2012 katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma wema alirudia yaleyale ya mwaka uliopita na tofauti na mwaka 2011 , wema aliomba msamaha mbele ya waandishi wa habari.“ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana na natumia fursa hii kuomba Msamaha” alisema wema

Baby Madaha
usiku wa kuamkia Septemba 17, mwaka 202 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambako kulikuwa na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta wananchi walimshuhudia Baby Joseph Madaha akijikuta akiumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya matiti a.k.a nido zake kuchomoza na kuonekana hadharani akiwa jukwaani.

Aunty Ezekiel
Pia aunty ezekiel aliungana na wema sepetu katika kutia aibu fiesta dodoma mwaka 2012. Aunty ezekiel naye aliungana na wema kuita vyombo vya habari na kuomba msamaha.