G Nako kuachia ngoma mbili kwa wakati mmoja.
Msanii kutoka kampuni ya Weusi ambaye pia ni member wa Nako 2 Nako Soldier G walawala au G Nako amezungumzia mpango wake wa kuachia ngoma mbili kwa wakati mmoja huku akiwa amemshirikisha mchizi wake wa karibu Lord Eyes.