BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

MIMI NANUKUU TU:
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu
tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema
Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa
na Meninah
Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa. “Unajua hizi habari kiukweli zimekuwa
zikinihuzunisha sana,” amesema msanii huyo.
“Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendi
kuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwa
sipendi kuzungumzia kabisa, kwa kuwa najua kabisa
siwezi kubishana na media kwakuwa media ni
kubwa, maana najua utaongea na huyu na yule siku ya siku utagombana na watu. Ndio maana huwa
nakaa kimya,” ameongeza “Kusema ukweli hili suala limekuwa likiniumiza ‘eti
sijui kuna vikao vya harusi mie nataka kumuoa
Meninah’ Kusema ukweli sina mahusiano na Meninah. Kila mtu anajua mie nina mahisiano Wema. Wema ndo mpenzi wangu, ila wakati
mwingine nakuwa naelewa ile inakuwa ni trick ya
kibiashara. Mtu anajua hata nikimuandika vipi
‘Diamond sijui kafanya nini watu hawawezi
kumchukia! Kwahiyo wanaamua kunitengenezea
chuki na maadui kwa watu kuwa nipo na
mwanamke wangu halafu namsaliti.”Meninah “Unajua kitendo hicho hatamaye kinaniudhi naona mtu yupo na mpenzi wake halafu anamsaliti. Najua
hicho ni kitendo ambacho kila mtu hakimpendezi.
Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na
maadui kupitia njia hiyo. Labda wana wasanii wao,
sasa wanaona tukiingia kwa njia hii tutaweza
kuamharibia Diamond. Ndioa siku zote nimekuwa
kimya tu ila sina mahusiano na Meninah. Mie nikiwa
na mtu huwa sifichi naweka wazi kabisa. Hata kama
leo nimeachana na Wema nasema tu, why nifiche?
Mie katika mambo yangu huwa simuogopi mtu kama
ningekuwa nataka kuoa basi ninge weka wazi why nifiche??