BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Wakati akiwa L.A kwenye tour ya kuitangaza Album yake mpya inayoitwa X alioiweka sokoni tarehe 16/sept/2014 Chris Brown alionekana akiwa kavaa kidani cha Rihanna,
Issue kubwa ni kuonekana akiwa na hicho kidani kwenye tour yake yote huku akiwa na mpenzi wake mpya Karrueche Tran ambaye ni mtangazaji wa kituo cha tv cha B.E.T. ambaye kwa sasa inasemekana ni mjamzito,
Rafiki wa karibu wa Karrueche aliuambia mtandao wa Takeout “She’s very confused right now, because she loves Chris and Chris wants a baby . . . but Karrueche wants more than just a child — she wants a real commitment,”

Chris akiwa na gal wake Karrueche huku akiwa kavaa kidani cha Rihanna.


Chris akiwa na kidani cha Rihanna.