Home
»
burudani
» BAADA YA KUTUKANWA INSTAGRAM KUA ANAISHI KWA WEMA, HICHI NDO KADINDA ALICHOONYESHA
Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa
aliyekuwa manager wa msanii maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda(
picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya Sinza.
Alipost hii picha juzi kwenye mtandao wa
instagram baada ya kundi la watu kuibuka na kumtukana manager huyo kuwa
hafai kuwa role model na maneno mengine machafu ambayo hayana maadili.
Matusi hayo yalikuja baada ya manager huyo ku post picha yake huku akiwa
ameacha kitovu chake nje.
Martin aliwajia juu watu hao na
kuwaambia kuwa wengi wao wanaomponda mtandaoni hawana maisha wala
elimu,hivyo wanachofanya ni kujifariji kama sio kujipooza machungu ya
ugumu wa maisha kwa kumponda yeye (martin) ambaye anadai ana maisha
mazuri kuliko hao wanaohangaika kumtukana mitandaoni wakati hata
hawamjui.