Ni mara nyingi Diamond Platnumz huwa
anasema kuwa ana nyimbo nyingi sana alizoisha rekodi na bado anaendelea
kurekodi kila kukicha, lakini sio nyimbo zote alizonazo zitapata nafasi
ya kutoka kama official singles.
Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake.
Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake.