Abby Skillz azungumzia ukimya wake katika game ya Bongo Fleva.
Mwanamusic alietokea katika lebo ya G Record na kufanya vizuri wakati ule anaejulikana kwa jina la Abby Skills amefunguka issue nzima kuhusiana na ukimwa wake kwenye game ya music wa Bongo Fleva.
Kupitia mawimbi wa 96.9 Zanzibar ndani ya kipindi cha Ze Crush Abby Skillz alizungumzia issue iyo.