Video za Baadhi ya matukio ya ufunguzi wa serengeti fiesta 2014 jijini Mwanza Usiku huu ndani ya uwanja wa Mpira wa CCM Kirumba, Historia imeandikwa na maelfu ya wakazi wa Mwanza walijitokeza kushuhudia burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava kama Diamond Platnumz, Madee, Chege Na Temba, Mkubwa na Wanae, Young Killer, Stamina, Young D, Edu Boy, K Style, Mr Blue, Nyandu Tozi, Makomando, Jokate ambaye alipiga show ya muziki kwa mara ya kwanza na wengine kibao
 
Top