BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

 
Juzi ndani ya Club Maisha dar es salaam, kulikua na Party kubwa iliyoandaliwa na Mtangazaji wa Kituo cha Clouds Fm Ala za Roho, Party hii ilihudhuriwa na wajanja wengi wa Town na burudani ilitolewa na Rapper Chidi Benz ambaye kwa muda mrefu hajaonekana kwenye Majukwaa na sasa hivi anai promote Ngoma yake mpya Mpaka Kuchwee aliyo washirikisha Diamond na Ambwene Yesaya (A.Y) Chidi alipokelewa na vizuri na mashabiki waliohudhuria usiku huo, wengine walioperform ni Bob Junior Sharobaro mwenye nyota ya chips Mayai, Kassim Mganga kutoka Manza Bay Tanga, Shilolole Kiuno pamoja na Mpenzi wake Nuh Mziwanda wao ndio walifunga kazi  kabisa kwa kula denda on stage, Godzilla pia aliperform pamoja na Wadananda, Party hii iliisha mida ya saa kumi na moja alfajiri.