
'Masai Nyotambofu' Comedian/ Musicion Tanzania
Namshukuru
mwenyezi mungu kwa kunijalia kipaji hiki cha uchekeshaji
kinachonikutanisha na watu mbalimbali hatimaye kunipa heshima kubwa,
Jana mchana niligundua kiasi gani watu wangu wanakiu ya kukutana na mimi
live na kupiga story mbili tatu kuhusu sanaa yangu ya uchekeshaji na
muziki kwani Vyombo mbalimbali vya
habari Vilionyesha ushirikiano wa kufanya mahojiano mafupi na mimi baada ya kukabidhiwa cheti cha kushiriki na kufanya vizuri katika Filamu ya RASIMU YA KATIBA MPYA ilioandaliwa na KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU, Uzinduzi huo ulifanyikia MLIMANI CITY kwenye ukumbi mkubwa wa Cinema Jijini Dar.
Hapa Viongozi wakifurahi na kutwanga picha na mimi baada ya kunyakua Cheti.habari Vilionyesha ushirikiano wa kufanya mahojiano mafupi na mimi baada ya kukabidhiwa cheti cha kushiriki na kufanya vizuri katika Filamu ya RASIMU YA KATIBA MPYA ilioandaliwa na KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU, Uzinduzi huo ulifanyikia MLIMANI CITY kwenye ukumbi mkubwa wa Cinema Jijini Dar.






Nikiwa katika pozz la nguvu na Shabiki wangu wa ukweli mara tu baada ya kufanya Intervew na baadhi ya vyombo vya habari.

Hapo nikifanya Intervew na East Africa Tv baada ya kupokea Cheti changu cha ushiki katika filamu ya RASIMU YA KATIBA MPYA.

Hapa Intervew na Clouds Tv.


Nikipeana mikono na mkurugenzi muandaaji wa Filamu hio ya RASIMU YA KATIBA MPYA Mr Sungusia.

Hapa nimeshakikumbatia Cheti laivu bila king'amuzi.



