BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Muigizaji wa the  "Expendables 3" Sylvester Stallone amekuwa mmoja wa mastaa wa Hollywood ambao wamekuwa ni waathirika wa kuzushiwa kifo. Tetesi zilizosambaa kama moto unaounguza pori/ msitu hasa hasa kupitia mitandao ya kijamii, zilianzia kupitia ukurasa feki wa facebook.
Habari hii ambayo inaonekana kusababisha panic kubwa kwa mashabiki wa muigizaji  "Rambo" imepelekea kutumwa kwa salamu za huzuni kutoka kwa mashabiki wake mbalimbali kupitia mtandao wa twitter.

I just heard about Sylvester Stallone! Another favorite actor if mine, RIP
Ripoti hizo za kifo cha Rambo zinadai kuwa alipata ajali mbaya ya gari iliyosababishwa na dereva wake aliekuwa amelewa na kutokuona gari kubwa lililokuwa likija mbele yake.

Hii sio maara ya kwanza kwa muigizaji huyo kuuliwa na internet, mwanzoni uvumi mkubwa wa kifo chake ulioripotiwa na Global Associate News zilidai kuwa Rambo alifariki kwa ajali iliyotokana na snowboarding.
Sylvesta Stallon (68) yuko hai na mwenye afya njema. Baada ya "Expendable 3" atakuwa aki-shoot instalment ya 5 ya film yake "Rambo".
Ukiachana na Sylvester Stallon, wengine waliowahi kuzushiwa vifo ni pamoja na Justine Timberlake, Miley Cyrus na Charlie Hunnam