NENO MOJA KWA BINTI WA RAIS KAGAME....NADHANI NI MREMBO KUZIDI WATOTO WOTE WA MARAIS HAPA AFRIKA
" Nimeshindwa kuvumilia... Huyu Binti wa Kagame ni a REAL definition of beauty... #natural Beauty... kuna ile story ya Cleopatra ambae ndio anasemekana alikuwa ndio mwanamke mzuri kuliko wote duniani.. Na kwa hilo kila mtu ana picha ya Cleopatra aliejijengea kichwani.. KIUKWELI kabisa Hii picha ninayoiona leo ya huyu msichana ndio PICHA YA CLEOPATRA niliyokuwa nayo kichwani miaka yote!! SHE IS EXTREMELY BEAUTIFUL!!! kwa upande wangu." by Zamaradi Mtetema VIA instagram