http://3.bp.blogspot.com/-NARphAe30mc/UmAryGHWIWI/AAAAAAAAAz0/TpFS6lobPiA/s640/ID+LFTL+(2).JPGMimi sio mpenzi sana wa kuangalia filamu, ila mara chache tu huwa naangalia hasa kwenye mabasi ninaposafiri.

Kitu kinachonikera kwenye hizi Bongo movie hasa za JB ni kutumia wahusika wale wale na theme ile ile mwisho ana bore sasa.

Mfano ni huyu Shamsa Ford, huwezi kuangalia picha ya JB usimkute, tena kwenye filamu hiyo lazima ataishia kuolewa na JB.

Ni kweli Shamsa ni mzuri, lakini kwani yuko pee yake kwenye filamu?

Halafu kwa nini theme iwe mapenzi tu?

Nachoka kabisa
 
Top