
Hii
ni post ya Quick Rocka wiki nne zilizopita ambapo aliandika
>>> #LatePost…Paula’s graduation. @new_kajala @lamataleah

Hii ni post aliyoiweka Quick aliyoiweka kwenye instagram yake na kuandika >>> Ma gal kay kay….#Beautiful
Meneja amekanusha stori za uhusiano huo kuwepo na kusema wawili hawa wanafanya kazi tu, kwani haiwezekani watu kufanya kazi bila kuwa wapenzi?
Soudy alimuuliza uchumba wa Quick na Kajala ukojeukoje? akajibu >>> ‘nani alikwambia wana uhusiano? hamna hicho kitu… Quick tumefanya nae movie tu, hakuna biashara nyingine yoyote zaidi ya movie’
87.9 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya bonyeza play hapa chini kusikiliza You heard nzima…