Baadhi ya Mashabiki wa Wema Sepetu
Wamekuja Juu Baada ya Kuona Wema Sepetu Anazidi Kupata Umaarufu tu Kwa
Kupitia Skendo Badala ya Kutumia Umaarufu alio nao kufanya Vitu vya
Maana, Shutuma nyingi zinapelekwa kwa Manager Wake Ambae Wengi Walizani
Atafanya Mambo Makubwa Kupitia Jina la Wema Sepetu Lakini Mpaka
sasazaidi ya Mwaka hakuna cha maana alichofanya zaidi ya Mapicha picha
tu Instagram...
Baadhi ya Waliomnanga Martini Kadinda ni huyu Hapa jisomee mwenyewe: