BONGOCLAN Tanzania

Website yetu ipo katikamatengenezo

Copyright © BongoClan Tanzania™ | Published By Gooyaabi Templates | Powered By Blogger
Design by WebSuccessAgency | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com

HABARI ZILIZOSOMWA SANA WIKI HII

Wema ni kweli anavuta Bangi???

Siamerary Tarimno 'Ice baby'  ambaye aliibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kumtafuta  Super Nyota Diva's wa Serengeti fiesta, akiimba katika shindano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Aventure Mjini Moshi leo. Hizo ni shamrashamra kuelekea tamasha la Serengeti fiesta linalotarajiwa kufanyika kesho kwenye Uwanja wa Majengo mjini humo.

Mmoja wa majaji, Dk Fetty (kushoto) akizungumza na baadhi ya washiriki waliojitokesa katika mtifuanon huo.

Mshindi wa shindano la  Super Nyota Diva's la Serengeti fiesta, Siamary Tarimo akipewa mkono wa pongezi na Dk  Fetty.

Mshiriki mwingine katika shindano hilo, Jacqueline Frank naye akijaribu bahati yake katika kinyang'anyiro cha kumtafuta   Super Nyota Diva's wa Serengeti fiesta katika Ukumbi wa Aventure mjini Moshi leo.

Dj Fetty (kulia) na Kenneth Rhoden wakishauriana wakati wa shindano hilo. Mashindano hayo pamoja na lingine la Serengeti fiesta soccer  bonanza hufanyika kila mkoa kabla kufanyika kwa tamasha la Serengeti fiesta ambalo kwa mwaka huu linafanyika katika mikoa 18