Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji
mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner
akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu
zake wa karibu sana.
chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado
hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika
migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si
shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi
tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.
kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.