Familia ya kichina imekosolewa vikali na watu mbalimbali wanaopigania haki za watoto baada ya kuonesha picha ya mtoto wao mchanga akiwa katikati ya misosi huku akiwekewa mboga kama sehemu ya salad.
Mama yake mzazi, Qu Quan amesema kuwa wao walifanya kwa utani na walikuwa wakicheka sana kumuona mtoto akijaribu kuamka kutoka kwenye bakuli hilo huku akishindwa na kuendelea kulia na kisha wakamtoa.
Hata hivyo, sio wote waliowakosoa seriously, wengine walitania “Chinese people are capable of anything. The baby could be one of the menu.”

Utani huu unakubalika kwa mtazamo wako?
 
Top