http://1.bp.blogspot.com/-rCrjKZP3DTw/UaIoa_Ibu-I/AAAAAAAAQb8/vuAaXqcBjVY/s1600/IMG_0258.JPGJapokuwa ni show ya kwanza kufanyika kwenye msimu huu wa Serengeti Fiesta 2014, inaonekana itakuwa miongoni mwa show zitakazovunja rekodi kwenye idadi ya mahudhurio.
Show ilifanyika CCM Kirumba kwa amani huku ukaguzi ukifanywa mlangoni na Polisi kwa kila aliekua akiingia ambapo miongoni mwa wakali waliochukua nafasi kwenye stage ni Diamond Platnumz na Nay wa Mitego na hit song yao ya ‘muziki gani’ ambayo unaweza kutazama walichofanya hapa chini on AyoTV
credit : Millard Ayo
 
Top