Umezisoma Hizi?
Loading...
http://bit.ly/1obie07

HATIMAYE IRENE UWOYA AANZA KUSHOOT KIPINDI CHAKE CHA PARADISE NA TEAM YAKE.


IRENEFF 
Irene Uwoya ameshaanza mpango mzima wa kutembelea nyumba na kuzifanyia ukarabati akiwa kwenye harakati za ku-shoot show yake. Unaambiwa Irene kwenye show anaonekana kama mkandarasi kabisa  akiwa amevaa overall na kofia ya wajenzi. Cheki hizi picha akiwa busy na crew yake wakiandaa hii show.
IRENE 2
IRENE UWOYA
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Bofya hapa kututumia ujumbe
Press Esc to close
Copyright © 2013 BongoClan™ All Right Reserved