Umezisoma Hizi?
Loading...
http://bit.ly/1obie07

HAYA NDIO MAJINA NA PICHA ZA WANAJESHI WA TANZANIA WALIOKUFA KATIKA MAPAMBANO NA WAASI DARFUR SUDAN.

Askari hao waliokufa ambao walikuwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini Sudan ni :-
(1.) Sajenti Shaibu Othuman,

(2.) Koplo Oswald Chaula,

(3.) Koplo Mohamed Juma,

(4.) Koplo Mohamed Chikilizo,

(5.) Pte. Rodney Ndunguru,
(6.) Pte. Peter Werema,

(7.) Pte. Fortunatus Msofe.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kwenye mtandao ni kwamba askari hao walikwenda kujaribu kumwokoa mwenzao (ambaye hakutajwa) ambaye alisemekana kutekwa na vikosi vya waasi nchini humo.
Wakati wakijiandaa, ghafla walizingirwa na askari hao waasi na kisha kushambuliwa kwa risasi hadi kufa.
Haikufahamika hali ya askari huyo ambaye alidaiwa kutekwa kama bado yu hai ama ni miongoni mwa waliokufa.

Mungu azilaze roho za askari wetu mahali pema peponi, Amina.
Picha na habari : JF
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

2 comments:

Bofya hapa kututumia ujumbe
Press Esc to close
Copyright © 2013 BongoClan™ All Right Reserved