HOT NEWS

SOMA ALICHOKISEMA SNURA BAADA YA KIFO CHA NGWAIR HAPA


Habari za mchana wapendwa! kutokana na kifo cha msanii mwenzetu ALBERT MANGWEA  kilichotokea jana South Africa HATUTOKUWA NA SHOW YA UZINDUZI WA VIDEO YA MAJANGA. mpaka hapo tutatangaza tena.mungu alaze roho ya marehemu mahara pema peponi amin.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Share Story hii:

Facebook Google+ Twitter

0 Response to "SOMA ALICHOKISEMA SNURA BAADA YA KIFO CHA NGWAIR HAPA"

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...