0
KUDADADEKI MDADA HUYU NI HATARIIIIIII" MBUTA NANGA" HABARI ZAKE NITAWALETEENI SOON BAADA YA KUWARUSHIENI MAMBO YOTE YA USIKU WA SHOW YA DIAMOND IN UK'READING PAMOJA NA NEXT DAY AT CROWN PLAZA !

MBUTA NANGA" MBUZI NI YA NINI KAMA SIYO YA KUKALIWA NA KUKUNA NAZI''WEWE CHEKA TU DANCER WETU KWANI KUFANANA NA DIAMOND KUZURI JE"ONA DIAMOND HAPA NA KIFUA CHAKE WAZI YANI FULL TOCHI KUMULIKAAAA''MBUTA NANGA!!

JAMANI MPENI VIUNGO TARATIBU KWANI ANAWEZA KUZIMIA STAGE BUREE"KUDADADEKIIIIIIIIIIIIIIII'''NIMT*MBE NANI ''X2 a.k.a. NIMPENDE NANI " HAHAHAAA' WATU WALIANZA KUSEMA WEMAAAAA,WEMA'WEMAAA!!

MWAUONA HUO ULIMI,ALAMBA ,ALAMBA TENA''X2'MBUTA NANGA!!

NILIKUWA NA JIPEPEAJEAJE HAPA BAADA YA JOTO KUZIDI MLE NDANI"CREDIT TO FLORA LYMO FASHION BLOG
BOFYA UWE MJANJA
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
BOFYA UWE MJANJA

Post a Comment Blogger

 
Top