Umezisoma Hizi?
Loading...
http://bit.ly/1obie07

SNURA BAADA YA KUFUNIKA NEW MAISHA CLUB, APANIA KUJA KUWAPA LADHA DODOMA SIKU YA VALENTINE DAY
 dvj ommy crayze na hyperman hk ndio watakaoendesha show
 mzuka umepanda mpaka mtu mzima ameamua kwenda kutunza chupa ya maji kwa snura ahahah


Snura apania kuwapa ladha wakazi wa Dodoma siku ya wapaendanao VALENTINE DAY tar 14/2/2014 Kwenye Uzinduzi wa Filamu ya mwanadada kutoka Maisha Plus Efrancya Itwayo ALL EYES ON ME Itakayofanyika Kilimani Club kwa Kiingilio cha buku 7 na VIP kwa sh 15000/ Na pia kutakuwa na wasanii kibao wa Bongo Fl aver pamoja na wasanii wa maarufu wachekeshaji: Ni bongo la shoo usikoze mzazi: SHOO HII IMEDHAMINIWA : CAFE LATINO FAST FOOD DODOMA,NEW MASIHA CLUB DODOMA, HAJI MAPOWDER DODOMA , BOSSNGASA.BLOGSPOT.COM, G&G INTERNET CAFE DODOMA:
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Bofya hapa kututumia ujumbe
Press Esc to close
Copyright © 2013 BongoClan™ All Right Reserved