0
Staa anayepata jeuri ya kunawa na kukaa mezani kwa mgongo wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameanika chanzo na tabia za wanawake na mastaa wasagaji.

Akiacha mwanya mbele ya ‘chakubimbi’ wetu mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake Mtoni Kwaazizi Ally Temeke, Dar es Salaam, Nisha alisema kuwa chanzo cha wanawake kujihusisha usagaji ni kutokana na kuumizwa mara nyingi na wanaume.

Alisema: “Wakishaumizwa na wanaume huwa wanatafutwa njia ya kukidhi haja zao za kimapenzi na si kwingine bali ni kwa wanawake wenzao. Kitabia, wakishakubuhu huwa hawawapendi kabisa wanaume.”
BOFYA UWE MJANJA
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
BOFYA UWE MJANJA

Post a Comment Blogger

 
Top